- 1,111 viewsDuration: 3:15Watu 5000 waliaga dunia kufuatia ajali za barabarani mwaka jana, ikiwa idadi ya juu zaidi ikilinganishwa na mwaka wa 2024. Haya yamezungumzwa huku Rais Ruto akitangaza kwamba kamera za kuwanasa wavunjaji sheria za trafiki zitaanza kutumika kwa muda wa mwezi mmoja ujao. Rais akionya watakaokiuka sheria kuwa tayari kwa faini za papo hapo.