2 Mar 2026 8:13 pm | Citizen TV 1,037 views Duration: 1:57 Wanamuziki wa jamii ya wakalenjin wameeleza huzuni yao kufuatia kifo cha mbunge wa Emurua Dikirr, Johanna Ngeno siku mbili zilizopita, wakisema alikuwa kwenye mstari wa mbele kukuza vipaji vya wanamuziki.