- 210 viewsDuration: 4:46Miungano ya wahandisi pamoja na washikadau mbalimbali katika sekta hiyo hii leo wanahamasisha umma kuhusu siku ya kimataifa ya wahandisi Duniani. Msafara huo unatarajiwa kuzunguka katikati ya mji wa Kisii kwa lengo la kutoa hamasa hususan kwa jamii kukumbatia masomo ya uhandisi.