Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya shule Bungoma zakosa vifaa vya masomo ya sayansi

  • | Citizen TV
    147 views
    Duration: 2:02
    ‎Zaidi ya miaka kumi baada ya uanzilishi wa mfumo mpya wa elimu nchini CBE, bado shule nyingi za umma zinakabiliwa na changamoto ya vifaa hitajika vya masomo ya Sayansi na hata maabara. ‎Katika shule ya msingi ya Sinoko DEB kwenye Eneobunge la Kanduyi katika kaunti ya Bungoma, Mwalimu mkuu Anne Aketch anasema kuwa wanafunzi wake husoma tu ila masomo yanayohitaji Mazoezi ya vitendo yamesalia kuwa Ndoto.