Skip to main content
Skip to main content

Kituo cha demokrasia ya vyama vingi (CMD) kuandaa jukwaa la mjadala na wananchi Nairobi

  • | Citizen TV
    162 views
    Duration: 1:33
    Kituo cha demokrasia ya vyama vingi (CMD) imekutana na wanahabari kutangaza maandalizi ya mwisho ya toleo la nanane la tamasha ya majadiliano ya wananchi . Jukwaa hilo la kitaifa la siku nne linalenga kukuza majadiliano yenye mpangilio Jumuishi na yanayozingatia masuala muhimu miongoni mwa wakenya.