Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kidini wameomba serikali kufanya uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya ndege iliyoua Ng'eno

  • | NTV Video
    186 views
    Duration: 1:24
    Viongozi wa kidini kutoka Narok wameomba serikali kufanya uchunguzi wa kina na uwazi kuhusu ajali ya ndege iliyoua Mbunge Johanna Ng'eno, pamoja na watu wengine watano. Subscribe and watch NTV Kenya live for the latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions, and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya