Skip to main content
Skip to main content

Mawaziri Mvurya na Mutua wataka fedha zaidi katika idara inayoshughulikia masuala ya vijana

  • | NTV Video
    191 views
    Duration: 1:16
    Mawaziri Salim Mvurya na Alfred Mutua kutoka wizara ya michezo na leba wameitaka wizara ya fedha kuongeza mgao wa bajeti katika idara inayoshughulikia masuala ya vijana na walemavu na hata wazee, wakisema imepuuzwa sana kwa muda mrefu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya