Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Linda Mwananchi wasema ombi la kuunda chama kutumia jina lao yalifanywa bila idhini yao

  • | NTV Video
    8,220 views
    Duration: 1:16
    Viongozi wa kundi la Linda Mwananchi, linaloongozwa na Katibu wa chama cha ODM Edwin Sifuna wamesema maombi ya kuunda chama cha kisiasa chini ya jina lao yalifanywa bila idhini yao. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya