Skip to main content
Skip to main content

Arsenal itakata maize wa Ffitina EPL

  • | BBC Swahili
    10,246 views
    Duration: 1:31
    Mapambano ya Premier League yanaelekea ukingoni huku mechi chini ya 10 zikiwa zimesalia. Arsenal F.C. wanapigania kumaliza ukame wa miaka 21 baada ya ushindi dhidi ya Tottenham Hotspur F.C. na Chelsea F.C., lakini kikwazo kikubwa ni Manchester City F.C.. Je, watafanikiwa au ndoto itayeyuka? @ahmedbahajjofficial anaelezea zaidi #bbcswahili #englan #epl Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw