- 10,298 viewsDuration: 1:24Familia za wakenya ambao jamaa zao wamejiunga na jeshi la Urusi, kupigana vita vya Ukraine, wameandamana hii leo mjini Nairobi, wakiitaka serikali ya Kenya, kuwasaidia kuwarejesha jamaa zao nyumbani hata kama wameaga dunia, wamejeruhiwa au wakiwa hai. Aidha familia hizo zinaitaka serikali ya Kenya kudhibiti mawakala wanaowapeleka raia wakenya kupigana vita vya Urusi na Ukraine. Mwanahabari wa BBC @beldeen_waliaula aliambatana nao mapema leo - - #bbcswahili #urusi #kenya #wanajeshi #ukrainerussia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw