3 Sep 2025 10:51 am | Citizen TV 247 views Duration: 1:51 Polisi huko Kisumu wamewatiwa nguvuni watu wawili huku lita zaidi ya elfu mbili za pombe haramu zikipatikana katika kijiji cha Bolo wakati wa msako uliondeshwa na Jumanne asubuhi