Skip to main content
Skip to main content

Polisi waendeleza uchunguzi wa mauaji ya wakili Kyalo Mbobu

  • | Citizen TV
    14,654 views
    Duration: 4:40
    Polisi wanaendelea na uchunguzi wa mauaji ya wakili Kyalo Mbobu aliyeuawa jana jioni akielekea nyumbani kwake katika eneo mkabala na kituo cha kibiashara cha galleria. Kufikia sasa hakujakuwa na habari zozote kuhusu kukamatwa kwa washukiwa lakini uchunguzi wa makini unaendelea.