- 386 viewsDuration: 3:32Shule za sekondari nchini zinakabiliwa na hatari ya kufungwa baada ya serikali kuchelewesha fedha za kuendesha shughuli za masomo kwa mihula miwili sasa. Wakuu wa shule sasa wanahofia kuwa huenda wakalazimika kuwarejesha wanafunzi nyumbani iwapo serikali haitasambaza pesa hizo haraka iwezekanavyo