4 Sep 2025 10:52 am | Citizen TV 462 views Duration: 1:27 Wafanyabiashara wa soko la Uhuru hapa Jijini Nairobi wanapinga mradi mpya wa ujenzi wa soko hilo wakihofia unyakuzi wa ardhi na kudai ukosefu wa ushirikishwaji tangu soko hilo lilipoteketea mwaka 2012.