Skip to main content
Skip to main content

Ethiopia yazindua bwawa kubwa zaidi la umeme Afrika

  • | BBC Swahili
    13,032 views
    Duration: 1:31
    Ujenzi wa bwawa hilo kwenye mkondo wa mto Nile, ambao hutoa maji mengi ya mto huo mkubwa, ulikuwa na utata na nchi zilizo chini ya mto huo. Mvutano wa kidiplomasia na Misri uliongezeka na kulikuwa na mazungumzo ya migogoro. Ahmad Haji anaelezea zaidi. #bbcswahili #ethiopia #nishati Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw