4 Sep 2025 11:02 am | Citizen TV 192 views Duration: 1:15 Hofu imetenda kwa maelfu ya wanafunzi wanaotarajiwa kufanya mtihani wa Kitaifa ,huku Mbunge wa Gilgil ,Martha Wangari akionya huenda wakakosa kufanya mtihani kutokana na hali ngumu ya kifedha inayokumba sekta ya elimu