- 347 viewsDuration: 6:40Jopo la wataalamu wataoongoza mchakato wa kuwalipa fidia waathiriwa wa maandamano linaapishwa leo katika mahakama ya juu. Baadaye jopo hilo linaloongozwa na mshauri wa Rais Profesa Makau Mutua litafanya kikao cha kwanza katika Jumba la KICC.