Skip to main content
Skip to main content

Mandera: Maisha yaendelea kawaida licha ya tetesi za majeshi ya Jubaland

  • | Citizen TV
    12,837 views
    Duration: 3:57
    Shughuli za biashara na masomo zinaendelea katika eneo la mandera licha ya tetesi kuhusu kuwepo kwa majeshi ya jubaland au la eneo hilo. Mwanahabari wetu ben kirui amerejea kutoka mandera ambako alizungumza na wakazi pamoja na viongozi wa eneo hilo kuhusu hali ilivyo eneo hilo.