- 1,080 viewsDuration: 3:22Utupaji wa barakoa zilizopitisha muda w akutumia pamoja na zile ambazo zimetumika ni changamoto kubwa kwa mazingira humu nchini. Kwa mujibu wa takwimu za shirika la Sera na utafiti -KIPPRA- zikionyesha kuwa zaidi ya maski milioni 7 hutupwa kabla ya hutumika baada ya muda wa matumizi kupita. Hali hiyo imechochea baadhi ya wajasiriamali kaunti ya Lamu kutafuta mbinu ya kuchakata maski hizo kwa kuzigeuza kuwa bidhaa zenye thamani.