Skip to main content
Skip to main content

Ndege iliyoundwa Tanzania

  • | BBC Swahili
    14,111 views
    Duration: 1:31
    Vijana hawa 13 wa Kitanzania wameamua kuandika historia mpya. Wakiongozwa na maarifa kutoka vyuo vya ufundi vya ndani wanatengeneza ndege kwa mikono yao, kuanzia hatua ya mchoro mpaka kukamilika. Wana uwezo wa kutengeneza ndege moja kwa mwezi ambapo mpaka sasa wameshatengeneza ndege ndogo 9, tano kati ya hizo zikiwa zimekamilika na kuthibitishwa na Mamlaka za ndege Tanzania. Mwandishi wa BBC Yusuph Mazimu ametembelea Karakana yao huko Morogoro. #bbcswahili #tanzania #usafiriwaanga Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw