Skip to main content
Skip to main content

Magical Kenya yatua Meru, michezo yatumika kukuza utalii

  • | Citizen TV
    206 views
    Duration: 1:25
    Wito unazidi kutolewa kwa wakenya kuendelea kutumia michezo ya kitamaduni ili kukuza talanta na utalii nchini.kwenye msururu wa magical kenya ulioingia siku ya tatu hii leo katika kaunti ya tharaka nithi na meru, watu mbalimbali walishiriki kwenye uendeshaji wa baiskeli na ukweaji milima. Serikali za kaunti pia zikishinikizwa kukumbatia mfumo huo wa mlima kenya ili kujitangaza zaidi. Bodi ya utalii nchini pia imemtangaza bingwa wa dunia mbio za mita 1,500 faith kipyegon kama balozi wake huku wakitarajiwa kuandaa nusu marathoni siku ya Jumapili mjini Meru.