- 9,201 viewsDuration: 2:40Familia moja huko Kisii inalilia serikali kufanya uchunguzi wa kina kufuatia kifo tata cha jamaa yao katika eneo la kuogelea ndani ya hoteli alikokuwa Mtito Andei. Marehemu, Ben MAXWELL Ombui ambaye alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha Lukenya alikumbana na mauti yake alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.