Skip to main content
Skip to main content

Sherehe ya bathdei yageuka mauti Mtito Andei

  • | Citizen TV
    7,429 views
    Duration: 2:40
    Familia moja huko Kisii inalilia serikali kufanya uchunguzi wa kina kufuatia kifo tata cha jamaa yao katika eneo la kuogelea ndani ya hoteli alikokuwa Mtito Andei. Marehemu, Ben MAXWELL Ombui ambaye alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha Lukenya alikumbana na mauti yake alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.