- 12,231 viewsDuration: 2:45Mamia ya wakenya walijitokeza barabarani jijini Nairobi hii leo kwa matembezi ya kukashifu vita vinavyoendelea katika ukanda wa Gaza ambako zaidi ya watu elfu 65 wameuawa kwenye mashambulizi ya Israel kwa muda wa miaka miwili sasa. Mashirika ya haki na viongozi wa kiisilamu wamekosoa kile wanasema ni ukiukaji mkubwa wa haki unaoendelezwa Gaza. Miswaleh Zingizi anaarifu huku swala hili likitazamiwa kuangaziwa kwenye mkutano wa baraza kuu la umoja wa mataifa wa UNGA unaoanza nchini Marekani