Skip to main content
Skip to main content

Kakakuona: Mnyama anayewindwa zaidi duniani

  • | BBC Swahili
    14,132 views
    Duration: 2:03
    Kakakuona anashika nafasi ya kwanza katika orodha ya mamalia wanaosafirishwa kwa magendo duniani. Kwa nini wanyama hawa ambao hata hawashambulii binadamu wanawindwa sana? @mrs.tadicha anatueleza #bbcswahili #wanyama #kakakuona Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw