- 17,020 viewsDuration: 52sUamuzi wa mahakama ya kijeshi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo kumhukumu kifo aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Joseph Kabila umezua mjadala ndani ya nchi hiyo na hasa katika eneo la mashariki ambapo kumeshuhudiwa vita kwa miongo kadhaa. Kabila ambaye amekuwa akiunga mkono kundi la waasi la M23 alizuru mji wa Goma miezi kadhaa iliyopita na kwa sasa hajullikani alipo. Swali ni je, hukumu hii itaathiri vipi amani mashariki mwa Congo? @RoncliffeOdit anajadili hili kwa kina katika Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube wa BBC News Swahili. - - #bbcswahili #drc #kabila #diratv #siasa