#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond.
Mzee mmoja mwenye asili ya Kitaliano amefikishwa mahakamani leo akikabiliwa na shtaka la ulaghai wa shilingi milioni 165 kuhusiana na kipande cha ardhi ya thamani kinachodaiwa kumilikiwa na familia maskini katika mpango wa makazi wa Chembe Kibabamuche, katika Mahakama ya Kilifi. Armando Tanzini alikamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi (DCI) leo asubuhi katika makazi yake ya Vasco Dagama Pillar na kufikishwa mbele ya Hakimu Mkuu wa Kilifi, Charles Obulutsa, ambapo alikana mashtaka hayo.
Ingawa mzee huyo alikamatwa peke yake, inadaiwa alitenda kosa hilo pamoja na Pierluigi Caffini na kampuni ya Pijey Investment Limited. Tanzini alishtakiwa kuwa mnamo Machi 14, 1994, katika Ofisi ya Ardhi ya Kilifi, Kaunti Ndogo ya Kilifi Kaskazini, alishirikiana kwa njia ya udanganyifu kupata usajili wa kiwanja namba 408 chenye thamani ya shilingi milioni 165, akidai kuwa kimehamishwa kwake na Kitsao Mashobo Nyaki ambaye aliaga dunia kupitia kwa wakili wake aliyepewa, yaa Baya Bimlingo, kwa kutumia hati bandia ya uwakili ya tarehe 16 Machi 1994, jambo alilojua baadaye kuwa ni la uongo.
Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews