#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond.
Mamlaka ya Maendeleo ya Ukanda wa Ziwa Victoria imeanza harakati za kuimarisha usalama ndani ya ziwa hilo huku takwimu zikionesha watu zaidi ya 5,000 hupoteza maisha kila mwaka ziwani humo. Kwenye kikao cha siku mbili kilichoandaliwa mjini Kisumu, washikadau wa tume hiyo wakiongozwa na Katibu wa Maswala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Caroline Karugu, tume hiyo imetenga zaidi ya Euro milioni 15 ili kujenga vituo vya uokozi wa dharura pindi mkasa unaporipotiwa. Pia vituo hivyo vitawekwa katika mataifa matatu yanayoizunguka Ziwa Victoria. Vile vile, mkutano huo ulitoa hamasa kwa wanaoishi kando kando mwa Ziwa Victoria kuhakikisha wanalinga na kutunza mazingira.
Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews