Skip to main content
Skip to main content

3K FC yaimarisha maandalizi licha ya kutokuwa na uhakika wa kuanza kwa Ligi Kuu

  • | Citizen TV
    695 views
    Duration: 35s
    Timu ya 3K FC imeimarisha maandalizi yake ya Ligi Kuu ya Kenya licha ya kutokuwa na uhakika kuhusu tarehe ya kuanza kwa ligi hiyo ya daraja la juu. Mahakama Kuu itasikiliza kesi iliyowasilishwa na Kariobangi Sharks tarehe 24 Septemba, karibu mwezi mmoja baada ya tarehe iliyopangwa ya kuanza kwa ligi.