- 505 viewsDuration: 3:23Wakulima wa ngano wako mbioni kunufaika zaidi na kilimo chao, huku Mamlaka ya Kilimo na Chakula nchini AFA ikiongeza juhudi za kuimarisha uzalishaji wa ngano na kupunguza uagizaji kutoka nje. Kupitia Mpango wa Ununuzi wa Ngano, wakulima sasa wanahakikishiwa soko thabiti zaidi na bei ya chini iliyohakikishwa