27 Jul 2026 10:21 am | Citizen TV 4,974 views Duration: 2:30 Hali ya taharuki ilitanda katika kisiwa cha Amu Kaunti ya Lamu baada ya afisa mmoja wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kujeruhiwa na kijana mmoja Ijumaa.