1 Sep 2026 10:54 am | Citizen TV 2,199 views Duration: 1:36 Polisi mjini Eldoret wanamzuilia afisa wa GSU aliyehusishwa na mauaji ya mwanamke mmoja katika eneo la burudani la Kikosi cha GSU huko Naiberi, Uasin Gishu.