20 Oct 2026 1:53 pm | Citizen TV 433 views Duration: 1:31 Visa vya kujitoa uhai na ulevi wa kupindukia miongoni mwa walimu katika eneobunge la Ndaragwa kaunti ya Nyandarua vinazidi kuongezeka.