Skip to main content
Skip to main content

Agnes Ngetich avunja rekodi ya dunia ya nusu marathon

  • | Citizen TV
    5,238 views
    Duration: 1:36
    Mwanariadha Agnes Ng’Etich, ambaye ni mshikilizaji wa rekodi ya dunia ya mbio za barabarani za kilomita 10, amevunja rekodi ya dunia ya mbio za nusu marathon kwa wanawake pekee, katika mashindano ya dunia ya mbio za barabarani yanayoendelea mjini Copenhagen, Denmark.