Skip to main content
Skip to main content

Ahisani wawasaidia wajane kujikuza kiuchumi Butere katika kaunti ya Kakamega

  • | Citizen TV
    275 views
    Duration: 2:06
    Kundi moja la kina mama wajane na wanaoishi na changamoto za kimaumbile huko Buterea kaunti ya Kakamega, waungana kutafuta mbinu za kuinuana kiuchumi huku watoa wito kwa serikali kujenga chuo ama kiwanda kuwezesha eneo la Butere kuimarika kiuchumi.