Skip to main content
Skip to main content

Ajali mbaya barabarani zapungua kwa zaidi ya nusu mwaka huu

  • | Citizen TV
    421 views
    Duration: 1:36
    Visa vya ajali barabarani vimepungua kwa kiasi kikubwa mwaka huu, huku takwimu zikionyesha ajali mbaya zilizoshuhudiwa mwaka huu ni 3,840 ikilinganishwa na zaidi ya 8,000 mwaka uliopita.