17 Sep 2026 7:20 pm | Citizen TV 5,147 views Duration: 1:39 Watu 10 wamefariki katika ajali mbili tofauti katika kaunti za Machakos na Kisii ndani ya muda wa saa 24, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa.