- 4,504 viewsDuration: 2:41Idadi ya watu walioaga dunia kufuatia ajali ya barabarani eneo la Kikopey, Gilgil kaunti ya Nakuru imefikia sita baada ya mtu mmoja kuaga dunia alipokuwa akitibiwa hospitalini. Ajali hiyo ilihusisha trela mbili na gari la abiria. Watu wengine saba walijeruhiwa vibaya