Skip to main content
Skip to main content

Aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga akemea visa vya utekaji nyara

  • | Citizen TV
    230 views
    Duration: 2:31
    Aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga aikosoa serikali kwa kile alichokitaja kuwa kuzorota kwa hali ya haki za binadamu nchini, akiishutumu kwa kushindwa kulinda raia na kuzingatia Katiba.