- 7,305 viewsDuration: 1:39Amri ya kumkamata joram kamau na henry ateka nyabwari zimetolewa huku wakitarajiwa kufikishwa mahakamani hii leo. Washukiwa wengine wawili wakisomewa mashtaka katika mahakama ya milimani, katika kesi ya watu watano wanaotuhumiwa kuhusika na udanganyifu wa kuiba fedha za kra.