7 Sep 2026 10:15 am | Citizen TV 404 views Duration: 1:29 Askofu Mkuu wa ACK Eliud Wabukala ameitaka Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano (NCIC) kuchukua hatua dhidi ya siasa za uchochezi.