Skip to main content
Skip to main content

Athari ya vita Iran kwa bei ya mafuta. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    23,900 views
    Duration: 28:10
    Bei ya mafuta duniani imeshuka kutoka viwango vya juu vilivyoshuhudiwa jana Jumatatu, na sasa yanauzwa karibu dola 80 kwa pipa moja. Bei ya mafuta ilifikia karibu dola 120 kwa pipa, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 2022. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw