- 5,418 viewsDuration: 2:22Muungano wa Azimio la Umoja umebadili jina na kupata sura mpya ya Muungano wa Ukombozi, chini ya mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu. Wakiongozwa na Kalonzo Musyoka, viongozi wa Muungano wa Ukombozi wamewahimiza Wakenya kutotapatapa, wakisisitiza kuwa upinzani utashirikiana na viongozi wengine, wakiwemo wale wa Linda Mwananchi. Willy Lusige ana taarifa zaidi kuhusu mabadiliko hayo.