10 Jan 2026 7:21 pm | Citizen TV 1,069 views Duration: 4:31 Kwa siku ya pili, shamra shamra za matokeo ya mtihani wa K.C.S.E zinaendelea katika shule kadhaa nchini. Baadhi ya shule zikisajili asilimia mia moja kwa wanafunzi waliofanya mtihani kujiunga na vyuo vikuu nchini.