- 528 viewsDuration: 3:06Baadhi ya wakazi katika kaunti ya Nyamira wameiomba serikali ya kaunti hiyo kuharakisha mpango wa kukarabati barabara inayoendelea, wakidai shughuli za uchukuzi zimeadhirika pakubwa haswa msimu huu wa mvua. Wakizungumza na Runinga ya Citizen wakazi hao wamedai kushuhudia changamoto za kusafirisha mazao kutoka mashinani kwenda sokoni.