21 Aug 2026 10:28 am | Citizen TV 256 views Baadhi ya wananachama wa chama cha ODM kaunti ya Kwale watangaza kukihama chama hicho na kujiunga na vuguvugu la Linda Mwananchi wakisema chama hicho kimekumbwa na ukosefu wa demokrasia na uongozi dhabiti.