21 Aug 2026 1:17 pm | Citizen TV 34,787 views Duration: 2:33 Baadhi ya wananachama wa chama cha ODM kaunti ya Kwale watangaza kukihama chama hicho na kujiunga na vuguvugu la Linda Mwananchi wakisema chama hicho kimekumbwa na ukosefu wa demokrasia na uongozi dhabiti