8 Jan 2026 7:37 pm | Citizen TV 247 views Duration: 1:08 Kaimu kocha mkuu wa Bandari Fc, Razak Siwa, amesema kikosi chake kiko tayari kupigania ushindi wao wa kwanza wa mwaka huu watakapowakaribisha Kakamega Homeboyz siku ya jumamosi katika mchuano wa ligi kuu ya Kenya