21 Aug 2026 10:39 am | Citizen TV 5,098 views Duration: 1:47 Wakazi wa kaunti ya Nandi wakaribisha mpango wa serikali ya kitaifa kwa ushirikiano na serikali ya kaunti wa kuweka lami katika barabara na mitaa yote ndani ya maeneo ya biashara ya miji ya Kapsabet na Nandi Hills.