Skip to main content
Skip to main content

Baraza la magavana lawashutumu makatibu wakuu

  • | NTV Video
    248 views
    Duration: 1:23
    Baraza la magavana, COG, limewashutumu makatibu wakuu kwa kutoa maelekezo kwa magavana kuajiri wafanyakazi wa mpango wa afya kwa wote (Universal Health Coverage - UHC) kwa masharti ya ajira ya kudumu na ya kustahili pensheni. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya